Kimataifa
Mkutano wa kilele wa tabianchi wa COP30 ni nini, na kwa nini ni muhimu?
Mkutano wa kilele wa kila mwaka wa tabianchi wa COP30 unapofunguliwa mjini Belém, Brazili, macho yanaelekezwa kwa namna serikali zitakavyotoka kwenye ahadi hadi kwenye utekelezaji.

